img

Wezi wa mtandaoni wamvuruga Nedy Music, on September 10, 2020 at 10:02 am

September 10, 2020

Na FREDRICK NESTORY (DSJ) STAA wa Bongo Fleva, Said Seif  ‘Nedy Music’, amelaani vikali kitendo cha wezi wa mtandaoni kutumia majina ya watu maarufu kuwaibia watu. Nedy Music ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwataka watu hao kuacha kufanya hivyo kwa sababu wizi wao unawachafua mastaa ambao hawahusiki na wizi huo. “Watu wanaibiwa hela, wanawake wanatongozwa,

Na FREDRICK NESTORY (DSJ)

STAA wa Bongo Fleva, Said Seif  ‘Nedy Music’, amelaani vikali kitendo cha wezi wa mtandaoni kutumia majina ya watu maarufu kuwaibia watu.

Nedy Music ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwataka watu hao kuacha kufanya hivyo kwa sababu wizi wao unawachafua mastaa ambao hawahusiki na wizi huo.

“Watu wanaibiwa hela, wanawake wanatongozwa na kuombwa picha za utupu wakidhani ni meseji zangu kumbe sihusiki, nawaomba muache mnaofanya hivyo,” alisema Nedy.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *