img

Alenga ashangazwa na ‘Love or Money’, on September 3, 2020 at 1:40 pm

September 3, 2020

TEXAS, MAREKANI MWONGOZAJI na mwigizaji anayefanya vizuri, Houston, Texas, Marekani, Alenga Elize ‘Alenga The Great’, ameshangazwa na mapokezi makubwa ya filamu yake mpya, Love or Money. Alenga The Great, ameliambia Papaso la Burudani kuwa filamu hiyo yenye ujumbe mzuri kuhusu  nguvu ya mapenzi na pesa imetazamwa na watu wengi kwenye YouTube ndani ya muda mfupi.,

TEXAS, MAREKANI

MWONGOZAJI na mwigizaji anayefanya vizuri, Houston, Texas, Marekani, Alenga Elize ‘Alenga The Great’, ameshangazwa na mapokezi makubwa ya filamu yake mpya, Love or Money.

Alenga The Great, ameliambia Papaso la Burudani kuwa filamu hiyo yenye ujumbe mzuri kuhusu  nguvu ya mapenzi na pesa imetazamwa na watu wengi kwenye YouTube ndani ya muda mfupi.

“Nashukuru mapokezi yamekuwa makubwa, filamu hii tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube (Alenga The Great Films) ambapo ilitazamwa na watu 2,000 (2k) ndani ya saa 10, haya ni mafanikio makubwa kwangu na kwa wasanii nilioshirikiana nao,” alisema Alenga.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *